Mifumo inayofanya kazi ionekane, idhibitike na ithibitike.
Tunamiliki bidhaa tatu, kila moja imejengwa kwa tatizo ambalo taasisi za Tanzania zinakutana nalo kila siku. Programu za kawaida zisipofaa, tunajenga mfumo maalum kwa njia ileile.
PrimeTMSKila kontena linafuatiliwa, kuanzia getini hadi yadi hadi linapotolewa.
Soma zaidi (Kiingereza): PrimeTMS
SafiTrackUthibitisho kwamba taka zilikusanywa, si kulipiwa tu.
Soma zaidi (Kiingereza): SafiTrack
PrimeTillMauzo yako, stoo yako na pesa zako, mahali pamoja.
Soma zaidi (Kiingereza): PrimeTill
Custom Management SystemsImejengwa kulingana na jinsi taasisi yako inavyofanya kazi kweli.
Soma zaidi (Kiingereza): Custom Management Systems
Ona bidhaa ikifanya kazi katika aina ya shughuli zako.
Chagua bidhaa nasi tutakuonyesha jinsi inavyofanya kazi. Huna uhakika ipi inafaa? Chagua Anza na Define.
Ongea nasi WhatsApp





